KARIBU:

Classingtone Music - Blog rasmi ya mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Deey Classic

Web Hosting

Web Hosting

Sunday, May 19, 2013

Deey Classic, Mensen na King Silver. Ndani ya Metro Fm Radio-99.4Mhz-Mwanza

Hapa nilikuwa na rafiki yangu, ndugu yangu, Mensen Selekta pamoja na King Silver-wa wakubwa wa jiji ndani ya mjengo wa Metro Radio.... Pamoja na presenters wa show
Deey Classic wa Classingtone Music

Mensen Selekta

Thursday, May 2, 2013

Nanma ya kunipigia kura katika Tunzo za KTMA-2013

Nenda kwenye uwanja wa msg katika simu yako: andika neno BF1 kisha tuma kwenda namba 15345
Pia waweza kunipigia kura kupitia mtandao kwa kutembelea website ya www.kilitimetz.com au utume barua pepe (email) yenye neno BF1 kwenda ktma2013@innovexdc.com
Tuko pamoja na asanteni wadau.
Nawategemea.

Pamoja Sana



Katika airport ya Mwanza from Dar katika michakato ya K.T.M.A - Kili Tanzania Music Awards 2013

Archive

Followers

Hakimiliki ClassingTone Music. Developed and Custom Coded by Kicbjamii - +255755320803 | Love for Deey Classic