KARIBU:

Classingtone Music - Blog rasmi ya mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Deey Classic

Web Hosting

Web Hosting

Thursday, May 2, 2013

Pamoja Sana



Katika airport ya Mwanza from Dar katika michakato ya K.T.M.A - Kili Tanzania Music Awards 2013

Monday, April 29, 2013

Kuhusu ngoma ya Young Killa ft-Stamina & Quick Rocka:


Hiyo ngoma ina history.
Kwanza beat yake siku inafanyika ndiyo siku napokea taarifa za msiba wa mama pili ni ngoma ambayo imefanywa na watu wa5, maproducer wawili (2) na wasanii watatu (3) pia ni ngoma ya kwanza kuipenda tangu nimeanza muziki.

Saturday, April 27, 2013

Kaa tayari kumpiga kura Deey Classic

 

Kili Music Award 2013
Get ready to VOTE for DEEY CLASSIC
The Best Music Producer
Alianza Mtoto wa Dandu sasa Deey Classic
Mwanza = Deey Classic

Jana na Leo-Young Killa feat Stamina na Quick Racka-isikilize hapa.

Kutoka kushoto; Young Killer, Quick na Stamina

Binafsi nimefurahishwa na ushirikiano (kolabo hili) la Jana na Leo-Young Killa feat Stamina na Quick Racka...ametisha kijana...big up kwake aendelee kukaza!
Hongera sana Msodoki pamoja na Stamina na Quick.

Interview yangu ndani ya Barmedas Tv - Mwanza

  Much Love to All
Ni Deey Classic Hapa ndani ya NDINGO FLEVA-Barmedas Tv

Ndani ya Barmedas Tv with my cool presenter

Archive

Followers

Hakimiliki ClassingTone Music. Developed and Custom Coded by Kicbjamii - +255755320803 | Love for Deey Classic