KARIBU:

Classingtone Music - Blog rasmi ya mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Deey Classic

Web Hosting

Web Hosting

Thursday, April 25, 2013

Deey Classic ndani ya Tunzo za Kili Time Music Awards Tanzania

Click the Image to View
 Nimechaguliwa kuingia katika kuwania tunzo za muziki Tanzania za Kilimanjaro (Kili Time Music Awards) katika kundi la Mtayarishaji Chipukizi wa Mwaka na namba yangu ni BF1 kama mnavyoona katika picha hiyo hapo juu eneo lililozungushiwa msitari mwekundu na lenye maneno D Classic.
Naamini tutakuwa pamoja katika wakati wote. Nashukuru wote waliowezesha kwa namna moja ama nyingine kuweza kufikia hapa sio rahisi kuorodhesha majina yao wote lakini
popote walipo naomba wazipokee shukrani zangu.
Tuendeleeni kupeana moyo na kazi tuzidi kufanya kwa ushirikiano mkubwa.
Kwa yeyote mwenye maoni ama ushauri asisite kuwasiliana nami.
KARIBUNI!


Share it Please

Kisibi Isaya

Classingtone Music ni blog huru ya mtayarishaji wa muziki Deey Classic. Hapa utapata habari, matukio na mengineyo mengi kumhusu

0 comments:

Post a Comment

Archive

Followers

Hakimiliki ClassingTone Music. Developed and Custom Coded by Kicbjamii - +255755320803 | Love for Deey Classic