KARIBU:

Classingtone Music - Blog rasmi ya mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Deey Classic

Web Hosting

Web Hosting
Showing posts with label Habari. Show all posts
Showing posts with label Habari. Show all posts

Thursday, May 2, 2013

Nanma ya kunipigia kura katika Tunzo za KTMA-2013

Nenda kwenye uwanja wa msg katika simu yako: andika neno BF1 kisha tuma kwenda namba 15345
Pia waweza kunipigia kura kupitia mtandao kwa kutembelea website ya www.kilitimetz.com au utume barua pepe (email) yenye neno BF1 kwenda ktma2013@innovexdc.com
Tuko pamoja na asanteni wadau.
Nawategemea.

Monday, April 29, 2013

Kuhusu ngoma ya Young Killa ft-Stamina & Quick Rocka:


Hiyo ngoma ina history.
Kwanza beat yake siku inafanyika ndiyo siku napokea taarifa za msiba wa mama pili ni ngoma ambayo imefanywa na watu wa5, maproducer wawili (2) na wasanii watatu (3) pia ni ngoma ya kwanza kuipenda tangu nimeanza muziki.

Saturday, April 27, 2013

Kaa tayari kumpiga kura Deey Classic

 

Kili Music Award 2013
Get ready to VOTE for DEEY CLASSIC
The Best Music Producer
Alianza Mtoto wa Dandu sasa Deey Classic
Mwanza = Deey Classic

Interview yangu ndani ya Barmedas Tv - Mwanza

  Much Love to All
Ni Deey Classic Hapa ndani ya NDINGO FLEVA-Barmedas Tv

Ndani ya Barmedas Tv with my cool presenter

Thursday, April 25, 2013

Deey Classic ndani ya Tunzo za Kili Time Music Awards Tanzania

Click the Image to View
 Nimechaguliwa kuingia katika kuwania tunzo za muziki Tanzania za Kilimanjaro (Kili Time Music Awards) katika kundi la Mtayarishaji Chipukizi wa Mwaka na namba yangu ni BF1 kama mnavyoona katika picha hiyo hapo juu eneo lililozungushiwa msitari mwekundu na lenye maneno D Classic.
Naamini tutakuwa pamoja katika wakati wote. Nashukuru wote waliowezesha kwa namna moja ama nyingine kuweza kufikia hapa sio rahisi kuorodhesha majina yao wote lakini

Tuesday, April 23, 2013

Another Deey Classic Hit.


ANOTHER DEEY CLASSIC HIT,ALL THE WAY FROM MILAN TEXAS ITALY,OVER CLASSIC MUSIC,INTRODUCE TO YOU THE NUMBER ONE QUEEN ON THE PLANET.

Taarifa hiyo iwafikie

KWA WALE WALIOSIKILIZA MAHOJIANO YANGU LEO MCHANA (Jumatatu ya Tarehe 22, April-2013) KATIKA KITUO CHA 99.4 METRO FM WANA ELEWA NINI KINAENDELEA KUHUSIANA NA DEEY CLASSIC ILA KWA WALE AMBAO BADO HAMJA BAHATIKA

Kuhusu Mkataba


Jumatatu nilikuwa Radio Metro 99.4Mhz Mwanza nikizungumzia kuhusu suala la mkataba kati ya msanii muandaaji wa kazi (producer) kwa yeyote ambaye ni msanii au producer anayehitaji kufahamishwa kuhusu umuhimu wa kuwa na mkataba katika kazi zake atume maoni yake katika

Archive

Followers

Hakimiliki ClassingTone Music. Developed and Custom Coded by Kicbjamii - +255755320803 | Love for Deey Classic